Judge AY ktk pozi na miss universe 2011 Nelly Kamwelu
Miss Universe 2010 aliemaliza muda wake usiku wa jana,Hellen Dausen akimvisha Crown Miss Universe 2011,Nelly Kamwelu.
Miss Universe 2011,Nelly Kamwelu (kati) akiwa na mshindi wa pili,Neema Kilango (kulia) na Mshindi wa tatu,Yaceba Asenga mara baada ya kumalizika kwa mashindano ya Miss Universe 2011 yalifofanyika katika hoteli ya Golden Tulip,Masaki jijini Dar usiku wa jana.