Saturday, May 28, 2011

mambo yalivyokuwa usiku wa jana pale Golden Tulip katika kinyan'ganyiro cha kumtafuta Miss universe 2011

Judge AY ktk pozi na miss universe 2011 Nelly Kamwelu
sponsers pamoja na washindi ktk picha ya pamoja

Mratibu wa shindano la Miss Universe,Maria Sarungi akitangaza washindi
Miss Universe 2010 aliemaliza muda wake usiku wa jana,Hellen Dausen akimvisha Crown Miss Universe 2011,Nelly Kamwelu.
Miss Universe 2011,Nelly Kamwelu (kati) akiwa na mshindi wa pili,Neema Kilango (kulia) na Mshindi wa tatu,Yaceba Asenga mara baada ya kumalizika kwa mashindano ya Miss Universe 2011 yalifofanyika katika hoteli ya Golden Tulip,Masaki jijini Dar usiku wa jana.