Testimonies

kila mtu aliyeniona kwanzia saloon,kanisani hadi ukumbini hakuachakunisifia, mimi na mume wangu kila tunapotizama picha za harusi yetu hatuachi kumshukuru Mungu kwaajili yenu. Asanteni sana kwakufanya siku yangu kuwa ya kipekee sana. nimewapa watu kadhaa namba zenu kwaajili ya kupata gauni za harusi pia.