Thursday, June 2, 2011

kwamahitaji yako ya nguo za harusi, send off na kitchen party wasiliana nasi kwa e-mail alicedosi@yahoo.com 0713022558 au 0686179111

wadau katika pozi mbalimbali ndani ya Double Tree, siku ya ijumaa kuu mapema mwaka huu katika maonesho ya mitindo Style motomoto yaliyo andaliwa na TMH

watu walifurika kutizama ubunifu wa wanamitindo, kushoto ni Irene, baby na wadau wengine.
  wadau wa Blog Hii, mama nanii akisalimiana na Franco katikati ni super model Giver na mimi mwenyewe (Alice)