Thursday, February 9, 2012

Alice Foundation ikishirikiana na Wizara ya Fedha yaandaa mafunzo ya MKUKUTA kwa volunteers , watendaji wa serikali za mtaa na mwenyekiti katika serikali za mtaa kata ya Ubungo. wajasiriamali pia walikuwepo katika mafunzo hayo...

Mrs. Alice Dosi Mwamsojo(kushoto) akiteta jambo na mmoja wa wajumbe wa Alice Foundation katika mafunzo ya MKUKUTA
picha ya pamoja na wawakilishi kutoka serikali za Mitaa katika kata ya Ubungo pamoja na mwenyekiti wa Alice Foundation (kulia)
volunteers wa Alice Foundation wakati wa mafunzo ya MKUKUTA
picha ya pamoja na wawakilishi kutoka serikali za Mitaa katika kata ya Ubungo pamoja na mwenyekiti wa Alice Foundation
facilitator Mr. Ghumpi From Ministry of Finance akielezea kwa kina kuhusu MKUKUTA
Facilitator Mr William (MOF) na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa Alice Foundation ambaye ndiye mwandaaji wa Training ya MKUKUTA
wajumbe wa Mkutano walipata mda wa kujadili mada kwa vikundi