wakazi na wafanyabiashara wa ubungo wakipata mafunzo ya ulinzi shirikishi na polisi jamii |
ACP KIYONDO akimwakilisha Kamanda wa kanda maalum ya Dar-es-salaam Mh. Selemani KOVA alitoa mafunzo kwa wananchi wa ubungo juu ya ulinzi shirikishi |
ACP KIYONDO akitoa mafunzo kwa wananchi wa ubungo juu ya ulinzi shirikishi |
mwenyekiti wa ALICE FOUNDATION Mrs. A Dosi Mwamsojo akimweleza jambo mkuu wa kituo cha polisi Urafiki SP. Cosmas papalika na kushoto ni Mr. chillo Bunto volunteer wa ALICE FOUNDATION |