Leo tumerudi ofisini kutoka likizo ndefu poleni wateja wetu kwakutukosa mda mrefu sana. na kwa wale walio azima magauni ya harusi tunaomba muanze kuyarudisha Tausi atakuwa ofisi mda wote tayari kuyapokea. na wale wenye harusi za mwezi huu nguo zenu zipo tayari mje for fitting na kuchukua pole kwa wale mnaotupigia tunaoji majina. kipindi cha mvua kali kitabu cha wateja wetu kilipata dhoruba hivyo anwani nyingi zimepotea. Tutafurahi kuwaona, kusikia kutoka kwenu pia kwa njia ya sms , FB, Simu, Skype na hata ukitu beep .
Tunawatakia mwaka mpya wenye mafanikio, furaha na faraja kutoka juu.
KARIBUNI SANA
ALICE FASHION WORLD
No comments:
Post a Comment