Mrs. Alice Dosi Mwamsojo akizindua rasmi kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION 8 machi 2012 viwanja vya sanaa, jijini Dar-es-salaam.Mgeni rasmi alikuwa MH John Mnyika Mbunge Jimbo la UBUNGO.
wamama wakishukuru kwa mafunzo waliyopata katika uzinduzi rasmi wa kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION 8 machi 2012 viwanja vya sanaa, jijini Dar-es-salaam.Mgeni rasmi alikuwa MH John Mnyika Mbunge Jimbo la UBUNGO
(Alice)Mwenyekiti wa Alice Foundation na mratibu wa miradi (Kwame)Kulia wakimkabidhi Mgeni Rasmi (katikati)Tshirt katika uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION 8 machi 2012 viwanja vya sanaa, jijini Dar-es-salaam.
Alice Dosi Mwamsojo mwenyekiti wa Alice Foundation akimwelekeza jambo MH. John Mnyika wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION 8 machi 2012 viwanja vya sanaa, jijini Dar-es-salaam.