Wednesday, June 29, 2011

usiku wa khanga za kale mambo yalikuwa namna hii katika pictures!!!

Designers& models katika picture ya pamoja  kutoka kushoto ni Jackie alivaa nguo ya Alice Dosi, alice na nguo yangu ya ubunifu,Franko, paka wear, salim    farha na wengine.

Jackie Cliff katika wakawaka collection designed by Alice Dosi on 25th june 2011 
upcoming Designer Alice Dosi a.k.a mam Holly first time on stage showcasing my designs (wakawaka designs) 
Jackie Cliff katika wakawaka collection designed by Alice Dosi on 25th june 2011

1 comment:

  1. hongera sana Alice, nilikuwepo kwny fashion show ilikuwa nzuri sana.Mungu akubariki uendelee kufanya vizuri kila siku.

    ReplyDelete