Wednesday, June 20, 2012

Wakazi wa Ubungo mpo tayari?????????????????? njoo upate mwangaza juu ya katiba ya nchi yetu iliyopo ili uwezeshiriki kikamilifu katika marekebisho ya katiba


Alice Foundation inakukaribisha Tarehe 24 juni 2012 katika viwanja vya sanaa sinza legho jijini Dar-es salaam.tutakuwa na  wageni kutoka nchi ya Marekani ambao wataambatana na viongozi kutoka Ubalozi wa Marekani tunatarajia kuwa na ugeni wa watu 100 na wananchi 900 wakazi wa Kata ya  Ubungo, Ubalozi wa Marekani wanatuletea Navy band- bendi ya kikosi cha jeshi la maji, pia watatumia fursa hiyo kutupatia mipira ya kikapu ambayo tulikuwa tumeomba ubalozini hapo mapema mwaka huu.


Pamoja na ugeni huo lengo letu hasa ni kutoa elimu ya Afya na mazingira kwa watoto wanaoishi mazingira magumu na hatarishi pamoja na walezi wao. Hivyo tutakuwa na michezo mbalimbali, na tutakuwa na zoezi la kupima VVU kwa hiari. ambalo  litafanyika bure kwa wananchi wote. Na kufanya ufunguzi rasmi wa mafunzo ya Elimu ya  katiba iliyopo ili wananchi wa kata ya Ubungo  waweze kushiriki kikamilifu katika kutoa maoni juu ya katiba mpya.

Friday, April 13, 2012

women of courage Award 2012-Joaquine De-Mello atunukiwa Tuzo ya Mwanamke Jasiri Tanzania 2012

Ofisa wa Mambo ya Nje wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, Dana Banks akizungumza wakati wa hafla ya kumtunuku Tuzo ya Mwanamke Jasiri Tanzania 2012, Bi. Joaquine De-Mello iliyofanyika katika ubalozi huo jijini Dar es Salaam leo Machi 29.12. De-Mello ni Mwanasheria Kitaaluma na amekuwa Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora tangu Mwaka 2008. Aidha Ubalozi wa Marekani hapa Nchini umeamua kumtunuku tuzo hiyo kutokana na juhudi zake za kutetea Haki za Wanawake hapa nchini. PICHA ZOTE/JOHN BADI

De-Mello akiwa katika picha ya pamoja na Robert Scott na Dana Banks
Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Alice Foundation ambaye pia ni Mkurugenzi wa Alice Fashion World, Alice James Dosi akikabidhi zawadi ya maua kwa De-Mello kama ishara ya kumpongeza. 

Wednesday, April 11, 2012

celebrity gossip!!!!

This is what happened katika msiba wa Kanumba!!!!

Saturday, April 7, 2012

The truth about Steve Kanumba's death!!!!!

If tears could build a stairway,
And memories a lane,
I'd walk right up to Heaven
And bring you home again................


Our thoughts and prayers are with you Steven Kanumba.



For tears may last all night
But joy comes in the morning
So let him grieve throughout the night
For a new day will be dawning.
R.I.P  Kanumba  Steven.

Friday, April 6, 2012

1st anniversary !

ONE YEAR BLOG ANNIVERSARY

alicefasionworld.blogspot.com
is One Year Old This month!
 
And I want to Thank All My Fabulous Fans,Followers & Supporters from all around the world for sharing their Love of Fashion,  & My Blog!!

It's been wonderful getting to know some of you & I hope to hear from many more inspiring minds going forward. So feel free to comment & let me know what you think.
And Stay Tuned. I'm thinking it's about time to have my first Giveaway.

Tuesday, March 20, 2012

Enterprising Lady Gives Back to Society- Daily News 19th March 2012

Tanzania: Enterprising Lady Gives Back to Society

ALICE Dosi Mwamsojo is a woman with a vision, a mission and compassion for Tanzanian souls. Her dream is to help the poor and people without hope for a better future.
The 30-year old lady is the brain behind Alice Foundation, a non-government organization with an overall objective of improving social and economic advancement of street children in Tanzania, by increasing access to education. The foundation has also the task to cater for maternal matters, newborns health and sexual reproductive health services related to HIV and AIDS. "Alice Foundation is not here to compete but to work with other NGOs that serve the interests of women and children.
The Foundation has a strategic plan to make significant contributions to Tanzanian women and their families through working closely with the government and donors," Ms Mwamsojo explains. At first, the foundation targeted street children. However, with other board members, she changed their mind. Alice, who lives and runs her business and her foundation in Ubungo, says she grew up with sympathy for street children she saw.
"Our foundation started with Ubungo ward because the area is filled with street children, I think it's due to Ubungo Terminal Bus Station. I got a thought that if I wanted to make a change for the poor souls, I should start at home," she says. It all started late 2010, Alice, a social worker graduate and a former sales and market manager, Ms Mwamsojo left her job at the Syscorp, and opened her Alice Fashion World boutique where she sells and rent wedding dresses, maid of honour/maids dresses and caters for wedding and provide a rental car services.
"My boutique is a place where a bride would want to be. We provide all sorts of services," she explains. Within one year, her business boomed. Despite the little profit she earned, she decided to give back to the community. "I have been a volunteer for long. So when my business became successful I thought more about a better way to give to the community than start my own foundation."
The foundation was established in 2011, has 10 members and seven volunteers. The organization operates through four main programmes namely: MKUKUTA (National Poverty Reduction Framework), Women Empowerment, Health and Environment and Educating street children. "We have different projects such as the women empowerment program which has 28 groups of different women.
We also pay school fees for 11 children, and in a week we do a visitation to 276 children, who are underprivileged," The foundation isn't a year old yet, but has done a lot without a sponsor. "We don't have a sponsor. Sources of revenue for Alice Foundation come from a small stationery station where we provide services like 3-minutes express passport size photographs, photocopy and scanning.
These have helped us to run the office, get lunch money, transportation fee and manage administrative cost." A mother, a wife and a businesswoman, Alice is still trying to master her time. She says some day she will be the best chairperson of Alice Foundation.
"I spend a lot of time working as the Managing Director of Alice Fashion World, a chairperson of Alice Foundation and a designer. Being a blogger, a wife and a mother is not easy because there are times I stay off work to have time with my husband and my baby," she confesses.
Alice's vision is to increase the number of economically empowered women, progressive communities with well educated children free from ignorance, disease and poverty. It looks like her mission is giving her that. On March 8, this year the Alice Foundation launched a campaign to stop violence against women. The guest of honor was Ubungo Member of Parliament John Mnyika.
Alice says, apart from funds, the only challenge they face is a lack of commodious office. They need a bigger office, office tools such as a computer for storing their data. The future is bright for Alice Foundation. In the near future Alice says they are thinking of opening a bank to give women security with their money, and where they get a quick loan, a children's campaign that will help raise awareness on HIV/AIDS in an earlier stage.
Her message to people is: "People who search for happiness think that money and fame will make their life perfect, that is not true at all. You have to be thankful for everything you know and own. Just remind yourself that someone in the world has never even had the privilege you have.
"There is somebody always better than you and always somebody less fortunate than you. Until you find a middle ground and accept what you have, you will not have happiness. Together we can eradicate poverty in our nation. Together we can do this".

Monday, March 19, 2012

Today's Daily News talks about Alice on page 11

http://dailynews.co.tz/index.php/features/popular-features/3103-enterprising-lady-gives-back-to-society


Friday, March 9, 2012

"STOP Gender Based Violence "Mrs. Alice Dosi Mwamsojo akizindua rasmi kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION 8 machi 2012 siku ya wanawake Duniani viwanja vya sanaa, jijini Dar-es-salaam.Mgeni rasmi alikuwa MH John Mnyika Mbunge Jimbo la UBUNGO.

Mrs. Alice Dosi Mwamsojo akizindua rasmi  kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION  8 machi 2012 viwanja vya sanaa, jijini Dar-es-salaam.Mgeni rasmi alikuwa MH John Mnyika Mbunge Jimbo la UBUNGO.

wamama wakishukuru kwa mafunzo waliyopata katika uzinduzi  rasmi wa  kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION  8 machi 2012 viwanja vya sanaa, jijini Dar-es-salaam.Mgeni rasmi alikuwa MH John Mnyika Mbunge Jimbo la UBUNGO

(Alice)Mwenyekiti wa Alice Foundation  na mratibu wa miradi (Kwame)Kulia wakimkabidhi Mgeni Rasmi  (katikati)Tshirt katika uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION  8 machi 2012 viwanja vya sanaa, jijini Dar-es-salaam.
Alice Dosi Mwamsojo mwenyekiti wa Alice Foundation akimwelekeza jambo MH. John Mnyika wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kampeni iliyoandaliwa na na NGO ya ALICE FOUNDATION  8 machi 2012 viwanja vya sanaa, jijini Dar-es-salaam.

Monday, March 5, 2012

SAy NO to Gender Based Violence Celebrate women's day in style on 8th march 2012 . Alice Foundation Invites all women around the world to join us celebrate and Campain against GENDER BASED VIOLANCE

Utakaa kimya mpaka lini???




Violence against women both violates and impairs or nullifies the enjoyment by women of their human rights and fundamental freedoms... In all societies, to a greater or lesser degree, women and girls are subjected to physical, sexual and psychological abuse that cuts across lines of income, class and culture."
—Beijing Declaration and Platform for Action, paragraph 112


FACTS:Around the world, as many as one in every three women has been beaten, coerced into sex, or abused in some other way - most often by someone she knows, including by her husband or another male family member; one woman in four has been abused during pregnancy.

"TUMECHOKA UNYANYASAJI WA KIJINSIA"
come Let us celebrate Women's day in style

Alice Foundation Invites all women around the world to join us celebrate and Campain against GENDER BASED VIOLANCE
on 8th march 2012 Starting From 8:00 am 
FREE entrance, Drinks and Bites to be Served.
Venue: Kinesi grounds Sinza Legho near Alice Foundation Office.
Dress Code: White 
mwalike na jirani yako anaye nyanyaswa aje apate ushauri wa kisheria. Hakika maisha yako yatabadilika.......
"PIGA VITA UNYANYASAJI WA KIJINSIA"

Saturday, March 3, 2012

SMART CHOICE wame DONATE TSHIRTS kwa ALICE FOUNDATION

Mwakilishi wa SMART CHOICE wakati wa printing wa T-shirt ambazo ziklitolewa Bure kwa ALICE FOUNDATION


visit: http://mysmartchoice.blogspot.com/   for your printing.

asante sana Smart Choice kwakujitoa kwenu. Mchango wenu ni mkubwa sana katika ASASI yetu.

Saturday, February 25, 2012

Alice Foundation katika mkutano na wananchi wa kata ya Ubungo juu ya police jamii na ulinzi shirikishi

wakazi  na wafanyabiashara wa ubungo wakipata mafunzo ya ulinzi shirikishi na polisi jamii
 ACP KIYONDO akimwakilisha  Kamanda wa kanda maalum ya Dar-es-salaam Mh. Selemani KOVA alitoa mafunzo kwa wananchi wa ubungo juu ya ulinzi shirikishi

ACP KIYONDO akitoa mafunzo kwa wananchi wa ubungo juu ya ulinzi shirikishi
mwenyekiti wa ALICE FOUNDATION Mrs. A Dosi Mwamsojo akimweleza jambo mkuu wa kituo cha polisi Urafiki SP. Cosmas papalika na kushoto ni Mr. chillo Bunto volunteer wa ALICE FOUNDATION
ACP KIYONDO na mwenyekiti wa Alice Foundation katika mkutano wa ulinzi shirikishi na polisi jamii kata ya Ubungo viwanja vya sanaa Legho ACP KIYONDO akimwakilisha  Kamanda wa kanda maalum ya Dar-es-salaam Mh. Selemani KOVAalitoa mafunzo kwa wananchi wa ubungo juu ya ulinzi shirikishi
wakazi  na wafanyabiashara wa ubungo wakipata mafunzo ya ulinzi shirikishi na polisi jamii. mgeni rasmi alikuwa ni kamishina msaidizi Selemani Kova kamanda wa kanda maalum ya Dar-es-salaam

Friday, February 17, 2012

wanawake wanayo haki ya kuwa huru na salama kwenye maeneo ya umma mjini-Alice Foundation sambamba na ICINIC leo jijini

mwenyekiti wa Alice Foundation akiongea na Umati wa wanawake wa Ubungo jijini leo, hii yote ni katika kutekeleza wajibu wake katika jamii

Women Empowerment training workshop- ALICE FOUNDATION

Mrs. Alice Dosi Mwamsojo mwenyekiti wa Alice Foundation  akimpongeza mama Siwale kwa speech nzuri.

Mwenyekiti wa Alice Foundation katika Mkutano na viongozi wa serikali za mitaa katika kata ya Ubungo

mwenyekiti wa ALICE FOUNDATION akiweka bayana mipango ya Asasi Ya ALICE FOUNDATION kwa viongozi wa kata ya Ubungo

Alice Foundation katika kutekeleza majukumu yake katika jamii

mwenyekiti wa Alice Foundation katika picha na wanafunzi wamama watarajiwa katika semina ya kuwezesha wanawake katika vikundi mbalimbali kata ya Ubungo

Thursday, February 9, 2012

Alice Foundation ikishirikiana na Wizara ya Fedha yaandaa mafunzo ya MKUKUTA kwa volunteers , watendaji wa serikali za mtaa na mwenyekiti katika serikali za mtaa kata ya Ubungo. wajasiriamali pia walikuwepo katika mafunzo hayo...

Mrs. Alice Dosi Mwamsojo(kushoto) akiteta jambo na mmoja wa wajumbe wa Alice Foundation katika mafunzo ya MKUKUTA
picha ya pamoja na wawakilishi kutoka serikali za Mitaa katika kata ya Ubungo pamoja na mwenyekiti wa Alice Foundation (kulia)
volunteers wa Alice Foundation wakati wa mafunzo ya MKUKUTA
picha ya pamoja na wawakilishi kutoka serikali za Mitaa katika kata ya Ubungo pamoja na mwenyekiti wa Alice Foundation
facilitator Mr. Ghumpi From Ministry of Finance akielezea kwa kina kuhusu MKUKUTA
Facilitator Mr William (MOF) na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa Alice Foundation ambaye ndiye mwandaaji wa Training ya MKUKUTA
wajumbe wa Mkutano walipata mda wa kujadili mada kwa vikundi

Wednesday, February 8, 2012

MKUKUTA TRAINING!!!!!!

Alice Foundation katika kupunguza hali ya Umaskini uliokithiri katika nchi yetu tumeandaa Training ya MKUKUTA lengo ni kuelimisha jamii inayotuzunguka and getting the updates of MKUKUTA implementation as well as kukufahamisha kwa undani dhamira na malengo ya Alice Foundation. wote mnakaribishwa Kesho saa Tatu kamili asubuhi ofisi za Alice Foundation kiingilio ni bure... Facilitator kutoka Poverty eradication Department, Ministry of Finance.. for bookings call 0713022558
inbox Alice Dosi-Chairman and Founder,Alice Foundation or E-mail alicefoundationtz@gmail.com,alicedosi@yahoo.com

Wednesday, February 1, 2012

Lady in Red 2012 Reloaded Fashion Show

 Alice Fashion World tumejipanga vema katika show hii ya kipekee itakayofanyika SERENA HOTEL on 10th February 2012 From 7:30 pm Entrance 50,000 VIP   and 20,000 Normal 


DRESSCODE: RED & WHITE
 25 Designers showcasing wakiwemo:
 Mustafa hassanali,
khadija mwanamboka
Ally Remtulla
Alice Dosi
Vida Mahimbo
francisca shirima
Ailinda sawe   
na wengine wengi.................

usikose ticketi zimebaki chache....call 0784/0713 263263  for bookings..0r 0713 022558 


Jipange mwanawani  watu watapendeza sanaaaaaaaaaaaaa......
kutakuwa na Special Red Carpet.

kama unatafuta nini cha kuvaa njoo dukani kwetu tukupendezeshe

tunakopesha pia.....mnong'oneze shoga yako.....

maelezo zaidi call us 0713022558

Tuesday, January 24, 2012

Vote for Tina Ndonde's baby go.......Mandy..........go...........goooooooooooo

Please friends, we need more vote my dears, we can still vote till 29thJan12, and if u can please share the link to u friends too, thank u'all .....xoxo go......Mandy ....go Mandy....go....gooooo
Vote for your favorite babies and toddlers everyday on Parents Photo Faves! Want to see your cutie as one of our weekly winners? Upload your photo today at http://www.parents.com/enternow !

Shirts for sale!!!!!! sale! sale!

instead of 70,000   now pay less save 20,000 pay 50,000/= only  these shirts are suitable for occassions, such as engagement, send off, bag party, and so on...........

Monday, January 23, 2012

Alice Foundation



ALICE FOUNDATION
UBUNGO NHC/UBG20
KATA YA UBUNGO
TARAFA YA MAGOMENI
WILAYA YA KINONDONI,
P.O.BOX 76950
DAR-ES-SALAAM,TANZANIA
E-Mail: alicefoundationtz@gmail.com
Website: alicefoundationtz.blogspot.com
Tel: +255 713 022558







 


January 23rd , 2012
Dear Sir/Madam,
REF: INTRODUCING ALICE FOUNDATION

Referring to the heading above.
Alice  Foundation is a non- governmental, non-profit organization founded by  Mrs. Alice Dosi Mwamsojo  Who is a designer, marketer  and a social worker, in early  2011 in Dar es Salaam, Tanzania.

 The main goal of the organization is to improve the life standard of women and children through promoting them to access education, health service and capacity building for economic empowerment.

 Alice Foundation envisions is to increase the number of economically empowered women progressive communities with well educated children free from ignorance, diseases and poverty.

Our mission is to empower women, Build a better nation free from ignorance, diseases and poverty.

The organization operates through four main programmes namely:
• MKUKUTA / MDGs
• Women Empowerment
• Health & Environment
• Education (street children)

Alice Foundation is not there to compete but to work with   other NGOs that serve the interests of women and children. The Foundation has a strategic plan to make significant contributions to Tanzanian women and their families through working closely with you, the government and donors.



                                  
Yours Sincerely,


Hdosi
Mrs. Alice Dosi Mwamsojo
Founder & Director


Copyright © 2012 by Alice Foundation