Friday, July 1, 2011

Fans na followers wa blog yetu; alicefasionworld.blogspot.com leo July ipo ktk muonekano mpya. tutumie maoni yako kwenye Fb inbox au kwaku comment kny blog,hapa fb au kwakutuandikia barua pepe kwenda kwa: alicedosi@yahoo.com,alicedosi@gmail.com au kwakupiga simu 0713022558,0686179111.lengo letu ni kukidhi mahitaji yako ya nafsi. asante kwakutembelea blog yetu na Mungu akubariki sana.. maoni yako ni muhimu