Saturday, February 25, 2012

Alice Foundation katika mkutano na wananchi wa kata ya Ubungo juu ya police jamii na ulinzi shirikishi

wakazi  na wafanyabiashara wa ubungo wakipata mafunzo ya ulinzi shirikishi na polisi jamii
 ACP KIYONDO akimwakilisha  Kamanda wa kanda maalum ya Dar-es-salaam Mh. Selemani KOVA alitoa mafunzo kwa wananchi wa ubungo juu ya ulinzi shirikishi

ACP KIYONDO akitoa mafunzo kwa wananchi wa ubungo juu ya ulinzi shirikishi
mwenyekiti wa ALICE FOUNDATION Mrs. A Dosi Mwamsojo akimweleza jambo mkuu wa kituo cha polisi Urafiki SP. Cosmas papalika na kushoto ni Mr. chillo Bunto volunteer wa ALICE FOUNDATION
ACP KIYONDO na mwenyekiti wa Alice Foundation katika mkutano wa ulinzi shirikishi na polisi jamii kata ya Ubungo viwanja vya sanaa Legho ACP KIYONDO akimwakilisha  Kamanda wa kanda maalum ya Dar-es-salaam Mh. Selemani KOVAalitoa mafunzo kwa wananchi wa ubungo juu ya ulinzi shirikishi
wakazi  na wafanyabiashara wa ubungo wakipata mafunzo ya ulinzi shirikishi na polisi jamii. mgeni rasmi alikuwa ni kamishina msaidizi Selemani Kova kamanda wa kanda maalum ya Dar-es-salaam

Friday, February 17, 2012

wanawake wanayo haki ya kuwa huru na salama kwenye maeneo ya umma mjini-Alice Foundation sambamba na ICINIC leo jijini

mwenyekiti wa Alice Foundation akiongea na Umati wa wanawake wa Ubungo jijini leo, hii yote ni katika kutekeleza wajibu wake katika jamii

Women Empowerment training workshop- ALICE FOUNDATION

Mrs. Alice Dosi Mwamsojo mwenyekiti wa Alice Foundation  akimpongeza mama Siwale kwa speech nzuri.

Mwenyekiti wa Alice Foundation katika Mkutano na viongozi wa serikali za mitaa katika kata ya Ubungo

mwenyekiti wa ALICE FOUNDATION akiweka bayana mipango ya Asasi Ya ALICE FOUNDATION kwa viongozi wa kata ya Ubungo

Alice Foundation katika kutekeleza majukumu yake katika jamii

mwenyekiti wa Alice Foundation katika picha na wanafunzi wamama watarajiwa katika semina ya kuwezesha wanawake katika vikundi mbalimbali kata ya Ubungo

Thursday, February 9, 2012

Alice Foundation ikishirikiana na Wizara ya Fedha yaandaa mafunzo ya MKUKUTA kwa volunteers , watendaji wa serikali za mtaa na mwenyekiti katika serikali za mtaa kata ya Ubungo. wajasiriamali pia walikuwepo katika mafunzo hayo...

Mrs. Alice Dosi Mwamsojo(kushoto) akiteta jambo na mmoja wa wajumbe wa Alice Foundation katika mafunzo ya MKUKUTA
picha ya pamoja na wawakilishi kutoka serikali za Mitaa katika kata ya Ubungo pamoja na mwenyekiti wa Alice Foundation (kulia)
volunteers wa Alice Foundation wakati wa mafunzo ya MKUKUTA
picha ya pamoja na wawakilishi kutoka serikali za Mitaa katika kata ya Ubungo pamoja na mwenyekiti wa Alice Foundation
facilitator Mr. Ghumpi From Ministry of Finance akielezea kwa kina kuhusu MKUKUTA
Facilitator Mr William (MOF) na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa Alice Foundation ambaye ndiye mwandaaji wa Training ya MKUKUTA
wajumbe wa Mkutano walipata mda wa kujadili mada kwa vikundi

Wednesday, February 8, 2012

MKUKUTA TRAINING!!!!!!

Alice Foundation katika kupunguza hali ya Umaskini uliokithiri katika nchi yetu tumeandaa Training ya MKUKUTA lengo ni kuelimisha jamii inayotuzunguka and getting the updates of MKUKUTA implementation as well as kukufahamisha kwa undani dhamira na malengo ya Alice Foundation. wote mnakaribishwa Kesho saa Tatu kamili asubuhi ofisi za Alice Foundation kiingilio ni bure... Facilitator kutoka Poverty eradication Department, Ministry of Finance.. for bookings call 0713022558
inbox Alice Dosi-Chairman and Founder,Alice Foundation or E-mail alicefoundationtz@gmail.com,alicedosi@yahoo.com

Wednesday, February 1, 2012

Lady in Red 2012 Reloaded Fashion Show

 Alice Fashion World tumejipanga vema katika show hii ya kipekee itakayofanyika SERENA HOTEL on 10th February 2012 From 7:30 pm Entrance 50,000 VIP   and 20,000 Normal 


DRESSCODE: RED & WHITE
 25 Designers showcasing wakiwemo:
 Mustafa hassanali,
khadija mwanamboka
Ally Remtulla
Alice Dosi
Vida Mahimbo
francisca shirima
Ailinda sawe   
na wengine wengi.................

usikose ticketi zimebaki chache....call 0784/0713 263263  for bookings..0r 0713 022558 


Jipange mwanawani  watu watapendeza sanaaaaaaaaaaaaa......
kutakuwa na Special Red Carpet.

kama unatafuta nini cha kuvaa njoo dukani kwetu tukupendezeshe

tunakopesha pia.....mnong'oneze shoga yako.....

maelezo zaidi call us 0713022558