Saturday, March 3, 2012
Saturday, February 25, 2012
Alice Foundation katika mkutano na wananchi wa kata ya Ubungo juu ya police jamii na ulinzi shirikishi
| wakazi na wafanyabiashara wa ubungo wakipata mafunzo ya ulinzi shirikishi na polisi jamii |
| ACP KIYONDO akimwakilisha Kamanda wa kanda maalum ya Dar-es-salaam Mh. Selemani KOVA alitoa mafunzo kwa wananchi wa ubungo juu ya ulinzi shirikishi |
| ACP KIYONDO akitoa mafunzo kwa wananchi wa ubungo juu ya ulinzi shirikishi |
| mwenyekiti wa ALICE FOUNDATION Mrs. A Dosi Mwamsojo akimweleza jambo mkuu wa kituo cha polisi Urafiki SP. Cosmas papalika na kushoto ni Mr. chillo Bunto volunteer wa ALICE FOUNDATION |
Friday, February 17, 2012
Women Empowerment training workshop- ALICE FOUNDATION
Mwenyekiti wa Alice Foundation katika Mkutano na viongozi wa serikali za mitaa katika kata ya Ubungo
Alice Foundation katika kutekeleza majukumu yake katika jamii
Thursday, February 9, 2012
Alice Foundation ikishirikiana na Wizara ya Fedha yaandaa mafunzo ya MKUKUTA kwa volunteers , watendaji wa serikali za mtaa na mwenyekiti katika serikali za mtaa kata ya Ubungo. wajasiriamali pia walikuwepo katika mafunzo hayo...
| Mrs. Alice Dosi Mwamsojo(kushoto) akiteta jambo na mmoja wa wajumbe wa Alice Foundation katika mafunzo ya MKUKUTA |
| picha ya pamoja na wawakilishi kutoka serikali za Mitaa katika kata ya Ubungo pamoja na mwenyekiti wa Alice Foundation (kulia) |
| volunteers wa Alice Foundation wakati wa mafunzo ya MKUKUTA |
| picha ya pamoja na wawakilishi kutoka serikali za Mitaa katika kata ya Ubungo pamoja na mwenyekiti wa Alice Foundation |
| facilitator Mr. Ghumpi From Ministry of Finance akielezea kwa kina kuhusu MKUKUTA |
| Facilitator Mr William (MOF) na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa Alice Foundation ambaye ndiye mwandaaji wa Training ya MKUKUTA |
Wednesday, February 8, 2012
MKUKUTA TRAINING!!!!!!
Alice Foundation katika kupunguza hali ya Umaskini uliokithiri katika nchi yetu tumeandaa Training ya MKUKUTA lengo ni kuelimisha jamii inayotuzunguka and getting the updates of MKUKUTA implementation as well as kukufahamisha kwa undani dhamira na malengo ya Alice Foundation. wote mnakaribishwa Kesho saa Tatu kamili asubuhi ofisi za Alice Foundation kiingilio ni bure... Facilitator kutoka Poverty eradication Department, Ministry of Finance.. for bookings call 0713022558
inbox Alice Dosi-Chairman and Founder,Alice Foundation or E-mail alicefoundationtz@gmail.com,al icedosi@yahoo.com
Wednesday, February 1, 2012
Lady in Red 2012 Reloaded Fashion Show
Alice Fashion World tumejipanga vema katika show hii ya kipekee itakayofanyika SERENA HOTEL on 10th February 2012 From 7:30 pm Entrance 50,000 VIP and 20,000 Normal
Jipange mwanawani watu watapendeza sanaaaaaaaaaaaaa......
tunakopesha pia.....mnong'oneze shoga yako.....
DRESSCODE: RED & WHITE
25 Designers showcasing wakiwemo:
Mustafa hassanali,
khadija mwanamboka
Ally Remtulla
Alice Dosi
Vida Mahimbo
francisca shirima
Ailinda sawe
na wengine wengi.................
usikose ticketi zimebaki chache....call 0784/0713 263263 for bookings..0r 0713 022558
Jipange mwanawani watu watapendeza sanaaaaaaaaaaaaa......
kutakuwa na Special Red Carpet.
kama unatafuta nini cha kuvaa njoo dukani kwetu tukupendezeshe
tunakopesha pia.....mnong'oneze shoga yako.....
maelezo zaidi call us 0713022558
Friday, January 27, 2012
Mbunifu wa mavazi katika mkutano wa kujadili masuala ya uchumi duniani huko majuu.!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)
