Khanga ni vazi lenye historia ndefu kwa mtanzania, na khanga ni vazi pekee ambalo lipo kwetu sisi watanzania na tunalitumia katika shughuli zetu za kila siku kuanzia tunapozaliwa hadi kufariki. lakini vazi hili limepoteza thamani yake hasa kwa sisi vijana na ndo maana nkaamua kuitambulisha kwenu KHAKA shirts ilikuleta msisimko zaidi wa vazi la khanga hasa kwa vijana.
No comments:
Post a Comment