Tuesday, March 29, 2011

mtoko designs- kuonyesha mambo mapya kesho!!!!!!!!!!!

njoo mwenyewe kesho ujionee mambo mapya mazuri ya kijana huyu Salim Venue alliance france entrance free. tell your friends!!!!!

2 comments:

  1. designer gani mwingine atakuwepo kuonesha mavaza?

    ReplyDelete
  2. tafadhali maonesho yanaanza sa ngapi? tutakuwepo....
    Nguo zitauzwa baada ya maonesho au?

    ReplyDelete