wadau katika pozi mbalimbali ndani ya Double Tree, siku ya ijumaa kuu mapema mwaka huu katika maonesho ya mitindo Style motomoto yaliyo andaliwa na TMH
watu walifurika kutizama ubunifu wa wanamitindo, kushoto ni Irene, baby na wadau wengine.
wadau wa Blog Hii, mama nanii akisalimiana na Franco katikati ni super model Giver na mimi mwenyewe (Alice)
No comments:
Post a Comment