Wednesday, April 6, 2011

Amependeza sana!!!!!!!!!!




michelle katika pozi, Amependeza sana!

kivazi hiki kizuri sana!!!!!!!!!!!

"hii mnasemaje wadau"
Rose valentine, Farha , Franco na Alice wakitizama designs za FRANKO ktk maonesho ya mavazi yaliyoandaliwa na TMH mapema mwaka huu.

Saturday, April 2, 2011

Gari inakodishwa kwa maharusi bookings 2weeks before your wedding day!!!!

Range Rover 4.6 HSE, kwa wale wanaotaka kwaajiri ya Harusi magnetic(Just Married ) stickers utabandikiwa bure .
for bookings call Holly on 0713022558

Thursday, March 31, 2011

 Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa jana alliance france .... hongera sana Salim kwa kazi nzuri







Mtoko Designs ime launch Khaka Mens wear Jana, Alliance France. Hongera sana Salim kwa kazi nzuri...!!!!

Khanga ni vazi lenye historia ndefu kwa mtanzania, na khanga ni vazi pekee ambalo lipo kwetu sisi watanzania na tunalitumia katika shughuli zetu za kila siku kuanzia tunapozaliwa hadi kufariki. lakini vazi hili limepoteza thamani yake hasa kwa sisi vijana na ndo maana nkaamua kuitambulisha kwenu KHAKA shirts ilikuleta msisimko zaidi wa vazi la khanga hasa kwa vijana.

Wednesday, March 30, 2011

Frankoko designs na collection mpya mashati ya kiume..Hongera sana designer Franko kwa kazi nzuri!!!!

Muddy akiwa amevaa shati la ubunifu wa Franco Feb 2011

Diana Magesa aonesha ubunifu wake TMH Style Motomoto March mwaka huu Double Tree!!!!

Model Hidaya ndani ya Vazi la Ubunifu la Diana Magesa wa Morogoro. Double Tree Hotel.

Tuesday, March 29, 2011

mtoko designs- kuonyesha mambo mapya kesho!!!!!!!!!!!

njoo mwenyewe kesho ujionee mambo mapya mazuri ya kijana huyu Salim Venue alliance france entrance free. tell your friends!!!!!

Growing up African premier

kimya kimya wadau. Tupeane mialiko. mko juu!